Kuzaliwa kupya kiasili unaosaidiwaNamna gani kurejesha misitu yetu ?
Projet Makala«Gérer durablement la ressource bois énergie»
Sote turudishe pori
Guide pratique
Kitabu ya projet Makala
Guide Pratique ya Projet Makala 1
Mwongozo kusaidia kuzaliwa upya
kiasili
Guide Pratique ya Projet Makala 2
Kwa Kupata pesa Kwepesi, mara nyingi watu huchuKuwa uamzi unaohatarisha maisha ya Kesho ya watoto wetu
Ukongaji wa makala waturahisisha kupata pesa haraka
Pesa hizo ni muhimu kwa mahitaji mbalimbali za jamaa ama familia zetu (matibabu, malipo ya shule, chakula,…)
Lakini tujue wazi ya kwamba kukata miti yote misituni mwetu, ni kuzihatarisha jamaa zetu.
Namna gani watoto wetu watatushurulikia kesho kama hakuna tena miti ya kutengeneza makaa ?
Mwongozo huu unatueleza naMna gani tunatengeneza Makaa kwa leo. na kisha unatutolea Matendo rahisi yanayo turuhusu tuendelea kutengeneza Makaa kesho.
Guide Pratique ya Projet Makala 3
JaMaa yahitaJi pesa
Sina pesa ?
Tutaishia wapi sasa !
Guide Pratique ya Projet Makala 4
naMna gani twaweza kutatua haraka shida hiyo ?
Natengeneza makaa ya miti
Guide Pratique ya Projet Makala 5
nahitaJi seheMu ya Msitu
Kulingana na ombi lako nakupa sehemu ya msitu ili uyatengeneze
makaa
Nakushukuru, nitaanza kazi ya kukata miti
tangu kesho
Guide Pratique ya Projet Makala 6
niMepata seheMu ya Msitu, natengeneza sasa Makaa
Sulutani alinipa shamba, nitaikata
miti yote
Guide Pratique ya Projet Makala 7
JaMaa yafanikiwa na pato kisha kuuzisha
Nampenda sana mume wangu
ana pesa nyingi kutokana na makaa
Kupitia makala napata pesa haraka
Jamaa yangu inastarehe sasa
Guide Pratique ya Projet Makala 8
Badala ya Makaa, MliMo wa chakula
Kisha miezi mitatu, muke wangu alikuja kupalilia mimea ili ikomae vema
Siyaache majani mabaya, hata miti midogo midogo ijitokezayo wala vitoto
Guide Pratique ya Projet Makala 9
Badala ya Mavuno ni konde
Msitu wetu unaanza kuchipuka, tutapata yote : uyoga, viwavi,
matunda,…
Guide Pratique ya Projet Makala 10
Badala ya konde, Makaa tena
Najenga tanuru ndogo na miti midogo midogo
ya vitoto
Guide Pratique ya Projet Makala 11
pesa ndogo kutoka Mazao ya konde
Basi, kwa pesa chache hizi, shida zetu
hazitatatuliwa hata kamwe
Makala yalikuwa machache sana,
sikupata pesa nyingi kuliko hizi
Guide Pratique ya Projet Makala 12
shida zinakuwa nyingi
Guide Pratique ya Projet Makala 13
Msitu unatoweka, Miti inakuwa Midogo Midogo zaidi, pori yaJitokeza
Matunda Viwavi
Uyoga
Guide Pratique ya Projet Makala 14
shauri ya Mzee Mwenye Busara
Naelewa shaka lako. Haukujua kutumia vizuri
sehemu ya msitu uliopewa . Yafuateni sasa mashauri
yangu
Guide Pratique ya Projet Makala 15
Msitu hukoMaa polepole
Kama vile mtoto, msitu huchukuwa muda mrefu kwa kukomaa
Guide Pratique ya Projet Makala 16
suluhisho gani sasa kwa shida yangu ?
Nifanye je ?
Baba,nilifukuzwa shuleni kwa ajili ya
pesa za shule
Guide Pratique ya Projet Makala 17
lakufanya
Sulutani wa mujii akikupa sehemu ya msitu, usikate miti yote,Iache miti itoayo matunda yakula, ambayo viwavi wapendelea, na ile iangushayo mbegu ili kuotesha miti mingine mipya na msitu utarudi tena.
Matunda ya kula
mbegu
viwavi
mbengu izaayo miti mingine
Guide Pratique ya Projet Makala 18
linda kiJiti cha shina
Ninapokata vijiti vichipukavyo kunako shina,
inanibidi kuiacha kitoto kimojo ao viwili ili viweze kukomaa zaidi na kugeuka
miti mikubwa
Guide Pratique ya Projet Makala 19
wakati wa kupalilia, kuiacha Miti viJana MiMoJa MiMoJa na viJiti
Kuviacha vijiti vimoja kukomaa, haizuii mimea
ya chakula kukomaa vema
Guide Pratique ya Projet Makala 20
kulinda konde kwa Moto
Kufanya shamba ya mihogo karibu na konde kwa kuilinda kwa moto
Guide Pratique ya Projet Makala 21
kuilinda Miti tunayotaka kuikoMalisha
Ni mhimu kuilinda miti tunayotaka kuikomalisha
kwa kufanya kata -moto ao kwa kupalilia
kandokando
Guide Pratique ya Projet Makala 22
Msitu unarudi
Tazama nyama ya mawindo
Tunafurahi kuona tena msitu wetu
kukomaaMahali pote
miti yaota na hivi msitu wetu
wakomaa
Viwavi MatundaUyoga
Nyama
Guide Pratique ya Projet Makala 23
Maelezo ya fundi wa msitu
Notes du forestier
Pierre Proces (1); Emilien Dubiez (1); Cedric Vermeulen (2); Regis Peltier (3); Jean-Noël Marien (3)
(1) Cirad dep ES, UR 36, c/oFHS Kinshasa Gombe – RDC [email protected] [email protected](2) Gembloux Agro-BioTech (GABT), n°2 Passage des Déportés - Gembloux - Belgique [email protected](3) Cirad dep ES, UR 36, Baillarguet - Montpellier – France [email protected] [email protected]
Projet Makala :57 Av. des sénégalais – Gombe – Kinshasa – RDCSite web: http://makala.cirad.fr 2ème édition Janvier 2012
Projet Makala ina pata usaidizi wa pesa kutokea umoja wa ulaya kufatana na mapatano ya usaidizi DCI-ENV/2008/151-384, kwa njia ya pesa 21 04 01, kunamba EuropeAid/126201/C/ACT/Multi.
Mafaa ya projet niku leta swali, yaku ongezeka kwa maitaji yakuendelea na kutoku linda vema mali ya pori naku ongeza ku dumu namna yaku pata miti ya makala ku RDC, hata ku africa ya kati.
Ukomo kubwa ya projet ni kusaidia ku chunga miti ya makala mambo yaku leta koni kwa miji miwili ya RDC na moja ya Congo-brazza, kwa njia yaku tengeneza zaidi ku linda pori (yakawaida na yaku panda) na ushurti wa kubadilisha kwa kuongeza katika maisha ya wanainchi.
Hiyi kitabu ina fanyiwa na usaidizi wa pesa ya umoja wa ulaya.Mambo ya ndani ya kitabu hiyi inahushu tu na waandishi wenyeji na hayawezi
kuangalia mambo yanayohushu wenyeji wa umoja wa ulaya.